Tuesday, April 7, 2015

NGUZO 5 ZA MAFANIKIO YA FOREVER BUSINESS



1⃣TUMIA BIDHAA
According To My Experience,Mostly ya FBO's Wengi wanaoshindwa kuretail Ni Kutozitumia Bidhaa.
Wewe Ndo Mteja Wa Kwanza Katika Biashara Yako,ukitumia bidhaa unapata experience ya bidhaa yako,utaiamini mana tayar unaijua,hiyo pia itakujengea ww CONFIDENCE ya Kushare na Mwingine,sasa wewe unanunua Bidhaa Na Kuziweka Kwny Kabati afu unaendelea kutumia sabun o dawa ya meno ya Brand XYZ,unadhan kuna mtu atazinunua..?? USE THE PRODUCTS

2⃣SHARE NA WATU BIDHAA(Retailing)
Hapa ndo unaweza kushare na watu faida za hizo products,mind you dat "PEOPLE DONT BUY UR PRODUCTS BUT RATHER THE BENEFITS OF THE PRODUCTS"

3⃣SPONSORING
Shirikisha Watu biashara,umemuuzia mtu Products usimuache tu Aende,show him/her dat Behind dis product there is an Amazing Opportunity.
Andaa Contact List Of Atleast 100 people then wafanyie kazi,usiruke mtu hata mmoja.

4⃣COACHING
Train your Team To Do So,Duplicate What You Know To Your Downlines.

5⃣PERSONAL DEVELOPMENT
➡Anza kusoma vitabu
1: Nguzo za Biashara Ya Mtandao By Khushe&Lightness
2: Muongozo Wa Bidhaa
3: Think Big And Grow Rich
I recommend you FBO's to read these books coz ukitaka hii biashara ikulipe,You Jus On Knowledge
KNOWLEDGE+TEAM=BONUS
➡Attending All Events
First Rule of FBO is dat Never try to Miss Any Kind Of Training Or Bom
Umealika n hajaja hata Mmoja,Njoo Wewe.
➡The Better Person You Will Become The Better People You Will Attract,this is So Called The Law Of Attraction.


Kwa mawasiliano zaidi nipigie
                                 +255 673 278 406 au +255 755 037 227...!!

No comments: